Mkuu ili mtu aende advance inabid awe na credit pass 5 i.e C 5.....ambapo atakua ametoka kwenye IV kwa namna nyingine hutakiwi apate IVWakuu kuna dogo wangu kapata C flat combination ya HKL.lakini ana division 4 ya 26.Ana F mbili chemistry na Basic Maths masomo yaliyobaki ana D yote.
Je,serikali itamfikiria hapa maana dogo kahaso mwenyewe kusoma form one hadi four na kabakiza deni ambalo ameniomba nimlipie sasa kwa historia ya maisha yake dogo imebidi tu nimlipie na kwa sasa yuko Shinyanga mjini anaendesha daladala ya baiskeli.
Ushauri wenu wa kujenga utasaidia sana.
Huyu ni mtu wa mtaani kwangu tu,si ndugu yangu wala mdogo wangu ila namfaham background yake na alivyopigana mpaka akamaliza form four.So niliamua kutia mchango wangu kwake kwa juhudi zake tu japo hakupata matokeo ya kumpeleka kidato cha Tano.Nasikitika hatapata msaada wa kwenda shule binafsi kwa kidato cha tano namwombea Mungu apate angalau post ya ualimu shule ya msingiMtafutie shule ya Private mkuu mbona anasoma tuuu
Una contact zake huyo MadamKuna shule moja ya advance ipo ARUSHA inajulikana kama ENABOISHU HIGH SCHOOL ni shule nzur ada ni nafuu,,,, Kwenye hyo shule yupo madam anaitwa KELEN anawalipia ada watu ambao hawana uwezo so kama angepata mawacliano yake nahisi dogo huyo angefaidika. Kinachotakiwa ni kuwa muwazi na ueleze ukweli atasomeshwa bla shida. Madam huyo ana roho nzur unaweza ukahisi sio binadamu.... Akishindw kufanya hvyo afanye mpango wa chuo cha ualimu atapata
Mimi n mwalimu..!! Wazo n mojaa 2Wakuu kuna dogo wangu kapata C flat combination ya HKL.lakini ana division 4 ya 26.Ana F mbili chemistry na Basic Maths masomo yaliyobaki ana D yote.
Je,serikali itamfikiria hapa maana dogo kahaso mwenyewe kusoma form one hadi four na kabakiza deni ambalo ameniomba nimlipie sasa kwa historia ya maisha yake dogo imebidi tu nimlipie na kwa sasa yuko Shinyanga mjini anaendesha daladala ya baiskeli.
Ushauri wenu wa kujenga utasaidia sana.
Ili iweze?Mimi n mwalimu..!! Wazo n mojaa 2
Aende form v ya private then wakat anaendelea n masomo afanye kama kama qt kwa masoma aliyo pata F..! Nadhan hawezi kukosa ata D hivyoo atakuwa tayar an div 3
Iko Arusha upande gani mkuuKuna shule moja ya advance ipo ARUSHA inajulikana kama ENABOISHU HIGH SCHOOL ni shule nzur ada ni nafuu,,,, Kwenye hyo shule yupo madam anaitwa KELEN anawalipia ada watu ambao hawana uwezo so kama angepata mawacliano yake nahisi dogo huyo angefaidika. Kinachotakiwa ni kuwa muwazi na ueleze ukweli atasomeshwa bla shida. Madam huyo ana roho nzur unaweza ukahisi sio binadamu.... Akishindw kufanya hvyo afanye mpango wa chuo cha ualimu atapata