Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,427
Huyu jamaa ni wazimu. Unazungumza ni kama kujenga dual carriageway ni kazi rahisi. EAC hakuna nchi hata moja ambayo sasa hivi ina 100 kilometres ya continuous dual carriageway. Sasa huo utopolo wako wa 500 km dual carriageway umetoa wapi? Hata South Afrika sidhani wana 500 km of continuous dual carriageway. Key word here is "continuous".Sisi tunazungimzia barabara ya kwenye Mji Dodoma City lete ya Nairobi yenye urefu huo tuone achana na barabara za kuunganisha counties hizo hata sisi huku tz tunazijenga dar dodoma 500 dual carriageway and chalinze Moshi 500km dual carriageway loading hatutakuwa na mpinzani katika hilo hata Arusha holili sijazungumzia over 100km