Asus vivo tablet bluetooth

Asus vivo tablet bluetooth

mutimba

Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
19
Reaction score
0
Tablet yangu haikubali kutuma/kupokea mafaili kwa njia ya
bluetooth pamoja na kuwa uwa imeunganishwa
kwenye kifaa kama Kompyuta au simu ninayotaka kutuma faili!
Ninaomba msaada kwa wajuzi wa mambo haya hapa JF!
 
Back
Top Bottom