Mabadiliko ya tabia nchi hayo..ndio maana nguvu za kiume zinapungua kwa kua mambo yapo mubashara.wale wa CHAPUTA kazi kwenu kontena la makenikia hilooo juu ya boda boda chenjueni kinamna[emoji86] [emoji86] [emoji86]
hahahahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kuna siku nlikuwa naenda job mapema flan mara mdada mmoja kajaaliwa kweli akanivutia yuko kwa toyo nliwafwata karib nusu saaa nawafata tu