Ili iweje mkuu?Naomba mungu huyu dada apite maeneo ya stand
Apate anachokitafutaIli iweje mkuu?
Loh! Kweli Mungu ana kazi na sisi...kumbe unamuombea dhorba? Mwenzio kaambiwa kapendeza na usikute ana mume kamuacha nyumbaniApate anachokitafuta
Hatariiiii kubwa saaaana