Asubuhi ya kwanza Dar es Salaam

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woiii aki nimecheka hadi sio poa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
jakitoo hebu kuja ucheke na wewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woiii aki nimecheka hadi sio poa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
jakitoo hebu kuja ucheke na wewe

Karibu Mkuu, JF inakukutanisha na watu mahiri na makini kama Jokajeusi
 
mara ya kwanza nafika dar nlkuwa nasikiaga coco beach.! coco beach.! nkasema em na me nkatoe ushamba, lkn sema ukweli coco ni sehemu pa kawaida na sio zile kelele za kitaa nlzokuwa naskia.
 
mara ya kwanza nafika dar nlkuwa nasikiaga coco beach.! coco beach.! nkasema em na me nkatoe ushamba, lkn sema ukweli coco ni sehemu pa kawaida na sio zile kelele za kitaa nlzokuwa naskia.

Si unajua sisi watu wa kaskazini hatujawahi ona bahari Mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]joka unatokea kanda ya ziwa nini?
 
Hapo uliposema wewe na wamasai wa2 tuu ndiyo hamkulala mlikuwa mnakodolea TV mie hoiii kwa kicheko robotatu nijikojolee

Sent from my TECNO-C5 using Tapatalk
 
Hapo uliposema wewe na wamasai wa2 tuu ndiyo hamkulala mlikuwa mnakodolea TV mie hoiii kwa kicheko robotatu nijikojolee

Sent from my TECNO-C5 using Tapatalk

Mkuu, mbona uliniacha njia panda
 
Stori za kiwaki.unakata mzuka wote wa gambe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…