Nilijaribu kutafuta Eutelsat 28.5[SUP]0 [/SUP]na Astra 2F kwa Dar bila mafanikio, kwa kutumia prime focus ya futi 8. Niliambiwa na wenzangu kwamba unaweza kupata kwa kutumia PF ya futi 16 na kuendelea. Chungulia majibu HAPA.Wataalam wenzangu,kwanza kwa hapa dar astra 2F @ 28'E na nilesat 7'W zinaweza kupatikana kwa dish saizi gani na ku aina gani?na kama kuna yeyote aliyewahi kupata zote hizo au mojawapo, aweke attachment ili tujifunze kwa mifano wataaaalamu,pili jamani huwa naweza kuipata amos 5 @ 17'E kila ninapotaka bila taaabu,lakini hiyo eutelsat 16'E huwa inanitatiza sana,wapi ninnapopishana nayo wataaaalam,nina offset dish ya cm 90,na prime focus ya 180 cm na eurostar ku ya 0.3db,ntashukuru wataaaaaalm
Wataalam wenzangu,kwanza kwa hapa dar astra 2F @ 28'E na nilesat 7'W zinaweza kupatikana kwa dish saizi gani na ku aina gani?na kama kuna yeyote aliyewahi kupata zote hizo au mojawapo, aweke attachment ili tujifunze kwa mifano wataaaalamu,pili jamani huwa naweza kuipata amos 5 @ 17'E kila ninapotaka bila taaabu,lakini hiyo eutelsat 16'E huwa inanitatiza sana,wapi ninnapopishana nayo wataaaalam,nina offset dish ya cm 90,na prime focus ya 180 cm na eurostar ku ya 0.3db,ntashukuru wataaaaaalm
Kwanza ni kuitafuta amos17 kwa signal kubwa kabisa.baada ya hapo clockwise lnb yakotaratibu utaipata freq 10804/30000.. Mimi natumia dish ft6 na ku ya kawaida mimetega 20e,17e,16e kwa dish hilo moja
...Please weka picha jinsi yakuseti kwenye ft6 hiyo Amos 5@17 tafadhari.
...
itafute kwanza arabsat5c@20.....kisha juu ya io lnb yako kushito ndio unaipachika io ku yako ndio itakupa io eutl sat na amos5.
Labda mi ninachofaham kwenye dish ft6 ni kupata K24 NSS 57, Ebru nafikili ni Dstv Eutelsat 36, Ile ya Emmanuel TV, nafikili ni Intelsat 68.5. Hasa hiyo Amos 5 nisemu gani ili nipate mwanga kaka.
Labda mi ninachofaham kwenye dish ft6 ni kupata K24 NSS 57, Ebru nafikili ni Dstv Eutelsat 36, Ile ya Emmanuel TV, nafikili ni Intelsat 68.5. Hasa hiyo Amos 5 nisemu gani ili nipate mwanga kaka.
swali lako halieleweki mkuu emu uliza vizuri basi.?
Swali langu linahusu kuipata Amos5@17 kwenye dish la ft6 bila kupoteza local channels. Je inawezekana? Au kutumia dish la ZuKu kuipata Amos 5@17 nasikia kuna local channels za Tanzania.
Swali langu linahusu kuipata Amos5@17 kwenye dish la ft6 bila kupoteza local channels. Je inawezekana? Au kutumia dish la ZuKu kuipata Amos 5@17 nasikia kuna local channels za Tanzania.
nimekuelekeza hapo juu .ukitaka amos5 17 lazima ugeuze dish na ukigeuza utakosa local chanel kama za ipp nk kwa sababu amos 5 local zilizopo free ni tbc,ch10.,kwanzatv, na zingine nyingi ambazo sio za hapa nchini......jibu la swali lako la pili... Ndio dishi la zuku linafaa kukamata amos5 17degree
Shukrani kaka nifanyie kazi hilo. Ningeomba Tp yenye nguvu/ yenye signal kubwa ili inisaidie wakati wakuseti. Na je ipo juu au chini ya Ses 5 pale zinapokamata Chanel za ZuKu?. Nitashukuru kwakunijibu.
tumia izi 10804h 30000
kama umeipata ses@5e lisogeze dish lako kupande wa kulia kwako kiasi cha kama cm 3 ivi kisha anza kuli binua juu taratibu huku ukitazama tv..... hope utaipata.
happy hunting broo
Kaka nasogeza kulia kwangu nikiwa nyuma au mbele ya dish.