jamani wataalam msaada wenu kwa hii kitu,anayefaham jinsi ya kuipata astra 28'e,ninaitaka joy sport,mi nna 6ft eurostar solid dish na receiver ya arisat mpeg4 hd,je naweza kuipata,je dish yake waiset vp,nna maana iko karibu na satellite gan ambayo itafanya tuipate kwa urahisi?nko kwa mathiasi kibaha,natanguliza shukrani