konge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 6,622
- 41,331
Leicester city popote mlipo agizeni bia nakuja kulipa. Mbwa hawa wanamtoa Samatta mbeba hirizi
Wakome![]()




Leicester city popote mlipo agizeni bia nakuja kulipa. Mbwa hawa wanamtoa Samatta mbeba hirizi
Wakome![]()




Salute Mkuu. Nilienjoy sana Jana. NimeikubaliLive Football Tv iko playstore
Ukituliza wewe "kipwinto" inatosha.hajawahi ndio maana nimekaa kimya na kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya 5 chini ya Mheshimiwa Rais John Joseph Pombe Magufuli maana haya yote tunayashudia katika utawala wake........sasa na wewe ni vema ukatuliza kipwinto.
Ila kweliNi kweli ila wenzetu hamna siasa za mpira ha ha ha ha
Hii comment siyo ya Uzi huu