ASTAGHFIRULLAH Niweke wapi sura yangu kesho mie !

*** you
 
Wasipomtaja Samia ripoti hatutaielewa na hatutaikubali.

Maana Samia alisema nguvu iliyotumika ilikuwa sawasawa.

Wakati watu wameuawa mpaka majumbani mwao.

Msitake kuwaangushia jumba bovu wengine halafu Samia mkamuacha.
 
Stupid, mbwa kabisa °! Hizo buku7 mnazopewa ndio zinawatoa akili kiasi hiki ?
 
Mlishaulizwa mlitakaje ? Nguvu iliyotumika iliendana na tukio..... hapo unafanya tena uchunguzi gani?
 
Takataka kabisa hii
 
Haya mambo tuachane nayo...
Tutafute hela....
Waliofanya ubaya sio jukumu letu kuhangaika nao,,,kuna namna tayari wanateseka,,,,,,,TRUST ME!!!
 
Wasipomtaja Samia ripoti hatutaielewa na hatutaikubali.

Maana Samia alisema nguvu iliyotumika ilikuwa sawasawa.

Wakati watu wameuawa mpaka majumbani mwao.

Msitake kuwaangushia jumba bovu wengine halafu Samia mkamuacha.
Sidhani kama atatajwa.
 


Kwa hiyo TISS, JWTZ, Uhamiaji, Polisi wote hawakuwa na intelijensia ya maandamano, uingiaji wa mamluki toka nje na uwepo wa mikakati ya kuemdesha maandamano kiasi cha kutumia nguvu kubwa vile?
 
Wasipomtaja Samia ripoti hatutaielewa na hatutaikubali.

Maana Samia alisema nguvu iliyotumika ilikuwa sawasawa.

Wakati watu wameuawa mpaka majumbani mwao.

Msitake kuwaangushia jumba bovu wengine halafu Samia mkamuacha.
Yaani anayekabidhiwa ripoti kama mgeni rasmi atajwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…