Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 719
Leo ame ikoromea ccm kuwa ina uza viwanda kwa wa nunuzi wanao ua kusudi.Kiwanda cha baiskeli cha kwanza Tanzania kiliuzwa kwa mhindi aliye kifanya ghala la spea za baiskili toka India.Nahivyo kunusuru biashara ya kuingiza spea za baiskeli toka India
Na kwa demokrasia iliyopo CCM, huyu hatoitwa msaliti, mhaini, masalia, au ametumwa na chama cha upinzani. Wala hutosikia katibu mkuu na mwenyekiti wa taifa wakipita mikoani kuelezea usaliti wake.
Na kwa demokrasia iliyopo CCM, huyu hatoitwa msaliti, mhaini, masalia, au ametumwa na chama cha upinzani. Wala hutosikia katibu mkuu na mwenyekiti wa taifa wakipita mikoani kuelezea usaliti wake.
Ingekuwa chama cha mjomba leo angeipata kesho angevuliwa nyadhifa zake zote ndani ya chama na kashifa kibao juu yake.
Leo ame ikoromea ccm kuwa ina uza viwanda kwa wa nunuzi wanao ua kusudi.Kiwanda cha baiskeli cha kwanza Tanzania kiliuzwa kwa mhindi aliye kifanya ghala la spea za baiskili toka India.Nahivyo kunusuru biashara ya kuingiza spea za baiskeli toka India.mbunge huyo toka Kagera ambaye mara zote husifu ccm leo amegeuka ghafla na kesema kwanini wame ruhusu sukari ya nje na hivyo kufanya kiwanda cha Kagera kupunguza wafanyakazi?Amesema ni sera ambayo hauikubaliki akiwaunga mkono wapinzani
Na kwa demokrasia iliyopo CCM, huyu hatoitwa msaliti, mhaini, masalia, au ametumwa na chama cha upinzani. Wala hutosikia katibu mkuu na mwenyekiti wa taifa wakipita mikoani kuelezea usaliti wake.
Kesho lazima aitwe na kuonywa kwa nini anakiaibisha chama, kama haamini amuulize Kigwangala na hoja yake ya kumkataa spika, kaufyata mpaka leo kimyaNa kwa demokrasia iliyopo CCM, huyu hatoitwa msaliti, mhaini, masalia, au ametumwa na chama cha upinzani. Wala hutosikia katibu mkuu na mwenyekiti wa taifa wakipita mikoani kuelezea usaliti wake.
ukisema uongo muda mrefu alafu ukapitiwa na kukumbuka kiapo imani inakurudia. Masikini ccm wote wanatamani waseme ukweli lakini...!Leo ame ikoromea ccm kuwa ina uza viwanda kwa wa nunuzi wanao ua kusudi.Kiwanda cha baiskeli cha kwanza Tanzania kiliuzwa kwa mhindi aliye kifanya ghala la spea za baiskili toka India.Nahivyo kunusuru biashara ya kuingiza spea za baiskeli toka India.mbunge huyo toka Kagera ambaye mara zote husifu ccm leo amegeuka ghafla na kesema kwanini wame ruhusu sukari ya nje na hivyo kufanya kiwanda cha Kagera kupunguza wafanyakazi?Amesema ni sera ambayo hauikubaliki akiwaunga mkono wapinzani
Au wanakupa microphone ukiongea tu unaomba maji na kukata roho. RIP KolimbaAu ungesikia tu gari yake imepata ajali pale Mvumi na kufia hapo hapo huku dereva wake bwana Deus Mallya akitoka bila kovu.
Kwani Asumpta ni kiongozi wa chama? Au umesahau akina Kafulila nao walifukuzwa lakini hakuna aliyejali; hujui sababu ilikuwa hawakuwa viongozi?Na kwa demokrasia iliyopo CCM, huyu hatoitwa msaliti, mhaini, masalia, au ametumwa na chama cha upinzani. Wala hutosikia katibu mkuu na mwenyekiti wa taifa wakipita mikoani kuelezea usaliti wake.