asprin uko juu

huna lolote shostito.................bt vp asbh? siye tuendeelee na kule kwetu bana hapa jamvini siwez kukupa udaku si unajua toka juzi ile nakutamanije?????????? mis you sana mamito hivi ijumaa bado sana?
hebu tumuulize Asprin kuwa leo ni lini, ili kujua ijumaa ipo karibu au?? mi tooo nakutamani mnoooo, nilicheka sana juzi kha!
 
Last edited by a moderator:


kukujulia hali wapi na mume ninae mie.....
khaaaaa............
leo nakuendea mlingotini...si unakumbuka nilikwambia lazima "mgandiane?"
nikitoka kwa babu napitia mlimani kununua camera ya kuwapiga picha...



nipo best! nipe japo kiduchu tu nafasi nijaribu na mie, nikikinai nitakurudishia au? ila usisuse pulizzzz, uwe unakuja hata kutujulia hali!
 
bora arui upesi, upweke unanisumbua..... au nikupe wewe nafasi?

Upweke gani unakusumbua my love? Wakati mie niko kwa ajili yako? Yaani ni juzi tu nlikutoa out kwenye mduara leo walalamika upweke? Unaniumiza moyo ujue....

 
hebu tumuulize Asprin kuwa leo ni lini, ili kujua ijumaa ipo karibu au?? mi tooo nakutamani mnoooo, nilicheka sana juzi kha!
Leo ni Ijumaa toa mbili. Afu laaziz inakuwaje tunaulizana siku katikati ya wiki? Unataka tumkimbie mkoloni mida hii. Afu waweza nambia mbona penzi leti limepungua sana siku hizi cacico? Au hommie wangu Kaizer kashapindua serikali?
 
Last edited by a moderator:
nishapata likizo nakusubiri uje.....




Waaaoh! Thats so lovely....Umenifurahisha sana mke wangu. Jiandae na omba emergency leave kabisa, nakupitia hapo twenzetu vekeshen mpaka wikiendi, tukaboreshe penzi letu hapa........

 


kukujulia hali wapi na mume ninae mie.....
khaaaaa............
leo nakuendea mlingotini...si unakumbuka nilikwambia lazima "mgandiane?"
nikitoka kwa babu napitia mlimani kununua camera ya kuwapiga picha...
mmhh sasa ukitugandisha we utakaguliwa saa ngapi?? hasira hasara beste! bora tushee tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…