ASPIRE M7720 Acer PC.....Power Problem.

ASPIRE M7720 Acer PC.....Power Problem.

Mathias1981

Member
Joined
Jul 10, 2011
Posts
69
Reaction score
19
Wakuu niaje?samahan natatizo katika pc yangu ya Acer...nikiwasha switch power,inawaka mwanga wa blue nakuzima hivyo hivyo,halafu kale kataa kaliko karibu naram ndan yaboard kanawaka nakuzima nakenyewe rangi ya njano...sasa je?ni power supply?ama ram?ama kitu gani kimeikumba hii mashine...msaada tafadhari najua maIT mpo humu...natanguliza asante ...
 
Back
Top Bottom