Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,924 Reaction score 95,758 Sep 19, 2018 #22 Hakuna kama Harmorapa!
B bestmale JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 3,067 Reaction score 1,809 Sep 21, 2018 #23 Atarudi na matatizo inafanana na UPI?? kwa-muda said: Wote hakuna kitu wanaimba nyimbo zinazofanana, maadhi na melody yani hawabadiriki. Bora ya mwanadada Jolie, Ibra nation na yule Wozza Click to expand...
Atarudi na matatizo inafanana na UPI?? kwa-muda said: Wote hakuna kitu wanaimba nyimbo zinazofanana, maadhi na melody yani hawabadiriki. Bora ya mwanadada Jolie, Ibra nation na yule Wozza Click to expand...
kwa-muda JF-Expert Member Joined Sep 5, 2018 Posts 2,101 Reaction score 5,440 Sep 21, 2018 #24 bestmale said: Atarudi na matatizo inafanana na UPI?? Click to expand... Maana yangu namaanisha siyo kwamba nyimbo zao zinafanana hapana, kila mmoja nyimbo yake ya awali uimbaji unafanana na ya sasa na ijayo. Unakuta wanaimba key ile ile, sometimes hadi ujumbe, sometimes mpaka beat over wanafanya cover.
bestmale said: Atarudi na matatizo inafanana na UPI?? Click to expand... Maana yangu namaanisha siyo kwamba nyimbo zao zinafanana hapana, kila mmoja nyimbo yake ya awali uimbaji unafanana na ya sasa na ijayo. Unakuta wanaimba key ile ile, sometimes hadi ujumbe, sometimes mpaka beat over wanafanya cover.
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,177 Reaction score 25,512 Sep 21, 2018 #25 Nataka kujua kwanza, nani anaandika mwenyewe na nani anaandikiwa!?
B bestmale JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 3,067 Reaction score 1,809 Sep 21, 2018 #26 Harmonize was sasa sio wakufananisha na ao vicha
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,916 Reaction score 15,974 Sep 21, 2018 #27 EMMYGUY said: Nataka kujua kwanza, nani anaandika mwenyewe na nani anaandikiwa!? Click to expand... Wote wanaandika wenyewe
EMMYGUY said: Nataka kujua kwanza, nani anaandika mwenyewe na nani anaandikiwa!? Click to expand... Wote wanaandika wenyewe