Aslay aangukia kwa Alikiba

Nilimsikia Asley anasema hawezi jiunga Wasafi wala label yoyote Tanzania. Sababu anataka akomae mwenyewe awe Mkubwa zaidi ya Alikiba na Diamond.
Sasa kama amejiunga na Rockstar ndio basi tena. Ukiangalia Ommy Dimpoz hakuna alichofanya baada ya kujiunga Rockstar.
Ommy dimpoz week ya nne wimbio wake haujafika than hata views 800,000.. Hali ngumu kwake..
 
Uzi huu wamejaa anti-Kiba wanaumia roho kusikia Aslay kufanya kazi na Ali K ,watanzania tuache roho za kichawi ,mtu hata huo mkataba hujui utakuwa unahusu vitu gani tayari mate yamekujaa mdomoni
Tatizo kiba na aslay...aslay ana uwezo mkubwa kuliko kiba sema kiba mkongwe..halafu huyo kiba mwenywe hana maendeleo atawezaje kumsaidia dogo wkt abdu kiba nae hana lolote
 
Unajua kuna muda mwingine mtu anaweza akaandika post ukiisoma ukajua uwezo wa mtu kufikiri.

Yaan una kiwango kikubwa sana cha kufikiri napata picha ww kwenye draft hukamatiki.

Yaan woteee wataponda ila msingi upo hapa mashabiki w kiba watampaisha tuu hata akiimba upupu.

Afu Sasa hizi team mbili zimeongeza mahasimu mjini mrombosso na ashley

Lkn aliye ua YAmoto band, alikosea sana
Walishindwa kumpaidha baraka na lady jay dee wataweza kwa aslay
 
Back
Top Bottom