Askofu Ruwai'chi aeleza sababu ya kifo cha Kadinali Pengo

Askofu Ruwai'chi aeleza sababu ya kifo cha Kadinali Pengo

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa'ichi, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam ametaja maradhi ambayo yalikuwa yakimsumbua Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo, ambayo ndiyo chanzo hasa cha kifo chake. Ametaja maradhi ya Moyo pamoja na changamoto ya uti wa mgongo ndiyo sababu.



Soma pia
 
Yani hata usipoumwa ugonjwa wowote ule. Kadiri muda unavyo sogea seli za mwili wa binadamu zinakufa. Na kukusogeza karibu na kifo.

Ndio maana kwenye ile ishu ya Eipstein kuna matajiri walikuwa wanachukua seli za watoto wadogo ambazo ziko fresh and active, wanajipandikiza ili wawe na maisha marefu.
 
Back
Top Bottom