Askofu mwingine adakwa na unga

Nabii flora acha kupaka mkorogo. Thamini kazi nzuri ya uumbaji iliyofanywa na mungu.

Huyu naye nina wasiwasi naye, nabii gani anayejipodoa hivi kwa ajili ya nani? Mungu, Mumewe, au wahirika wake. Wakimmezea mate je si dhambi?
 
Nabii Flora na Nabii Mwingira wote kundi moja.Wanaruhusu Mavazi ya Kikahaba Kanisani.Mke wa Mwingira anavaa wigi na suluali inayo onyesha Equator.Nabii Flora Mukorogo ili kuvuta manabii wa Kiume.
Ku
 
Huyu naye nina wasiwasi naye, nabii gani anayejipodoa hivi kwa ajili ya nani? Mungu, Mumewe, au wahirika wake. Wakimmezea mate je si dhambi?
Makanisa mengi yameshindwa nidhamu na maadili ya Mungu.Torati 22:5 Mavazi ya mwanamme kwa mwanamke ni Chukizo.Kubadili asili kwa maana ya kujichubua kuvaa mawigi,suluali kwa mwanamke ni chukizo.Mavazi ya kikahaba chazo cha ubakaji kanisani. Mavazi ya Kikahaba ni maandalizi ya zinaa.
 
Maaskofu wote wangechunguzwa kama wanavyo chunguzwa viongozi kubaini biashara zao na vyanzo vya utajiri wao
Mali zote za viongozi wa dini zimesha hesabiwa na kuthaminishwa tangia mwaka 2009.Mali hizo ni pamoja na Nyumba viwanja,pesa Benk n.k.Mchakato huo umefanyika kwa viongozi wote ,wenye kuiongoza jamii.Itafika muda nchi ikipata Rais kama Kagame kila mtu atalia.Kila Askof atatangaza mali zake hadharani kama mwenzao alivyofanya hapo nyuma.Inatakiwa Kanisa lisipokee pesa kutoka kwenye chanzo kichafu ukiwemo madawa ya kulevya, ukahaba, ufusika, ulawiti,ujambazi,ufisadi.Mungu hawezi kupokea s adaka yoyote kutoka ktk mapato hayo.Ni bora kanisa likafanya tathimini ya waumini wana otoa Zaka ili kuepuka laana
Ya kumutukana Mungu.
 
Da nashindwa kuelewa na uyo nabii frola mbona simwelewi manake jinsi alivyo jichuna!!!!!!!!!!aya siku za mwisho kutakua na manabii wa uongo ngoja tuone.
Unaweza kuchubua sehemu zote za mwili lakini huwezi kuchubua sehemu za siri!
 
Hao hawawezi kamatwa kwani ni wanachama wa CCM .je umesahau?
 
Nabii flora acha kupaka mkorogo. Thamini kazi nzuri ya uumbaji iliyofanywa na mungu.
Mch. Rwakatare Nabii Flora wote mavazi ya kikahaba,mawigi,suluali .Lengo kuvuta wanaume!.Mch Rwakatare na Nabii Flora wamekimbiwa na waume zao!
 
Police wamekula chao, haingii akili eti kawakimbia. Unless kuna mkubwa aliwambia mwachieni
 
Yusuph Mohamed Lutengwe ni Askofu au Shehe?
 
Huu ni udaku tu hamna lolote hapo kwanza habari ndefu lakini imeshindwa kubainisha uaskofu wa huyo tapeli. Eti askofu wa kanisa moja!!!??? Lipi na liko mtaa gani? Kama mwandishi aliweza kufualia hadi kupiga simu morogoro alishindwaje kupata baadhi ya waumini wa kanisa hilo? Ili kupata tathmini yao juu ya Kiongozi wao wa kiroho ??? Hakuna sababu ya kumhoji Flora Peter na wachungaji wengine kabla ya waumini wa kanisa husika au kuthibitisha kwa namna yoyote ile uaskofu wa huyo mtu. Halafu angalia majina ya wahusika Karibia yote ni ya kiislam je huyu ni askofu wa msikiti au kanisa? Watu hapa wapo kwenye michakato ya kukashfu ukristo, wakristo wa kweli kueni makini hasa nyakati hizi za mwisho zilizo tabiriwa kujaa hatari. shika sana ulichonacho.......
 
nabii flora na nabii mwingira wote kundi moja.wanaruhusu mavazi ya kikahaba kanisani.mke wa mwingira anavaa wigi na suluali inayo onyesha equator.nabii flora mukorogo ili kuvuta manabii wa kiume.
Ku


Acheni mipasho, mnajochora nyinyi, rudini kwenye Mada!


Great minds discuss ideas. Average minds discuss events. Small minds discuss people. (Eleanor Roosevelt)
 
Mch. Rwakatare Nabii Flora wote mavazi ya kikahaba,mawigi,suluali .Lengo kuvuta wanaume!.Mch Rwakatare na Nabii Flora wamekimbiwa na waume zao!

Enzi za unabii zilishakwisha. Hivi huyu anayejiita Nabii Flora, unabii kapewa na nani? Au ndio haya mambo ya 'The Beast and false prophet (Revelations: 19:20)
 

ni habari ile ile sema inatolewa vipande vipande
 


Good job policemen! They had no option. You would have done exactly the same if you are “Tanzanian!” Kumbe mlitaka wamsakizie nani akamue hiyo mihela? I tell you hakuna hakimu mwenye jeuri ya kumhukumu bilionea nchi hii, na hata kama mkakamavu mmoja angetokea yet hakuna jela ingempokea coz this is the story of our history. And we are not doing this because of poverty, hunger or ignorance but because of who we are: a nation in peril, divided, under a seriously corrupt system, with no liberty and freedom.

GOOD GRIEF FOR THIS NATION!
 
Acheni mipasho, mnajochora nyinyi, rudini kwenye Mada!


Great minds discuss ideas. Average minds discuss events. Small minds discuss people. (Eleanor Roosevelt)
Nabii Mwingira kamubaka Betha mke wa Mbuya,huyo Askof anauza madawa ya kulevya ,Nabii Flora anachakachua sura kuvuta wanaume.Hizo ndo mada
 
Enzi za unabii zilishakwisha. Hivi huyu anayejiita Nabii Flora, unabii kapewa na nani? Au ndio haya mambo ya 'The Beast and false prophet (Revelations: 19:20)
Huwezi jiita Nabii halafu ukawa mubakaji wake za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…