Mbona Askofu alishatangulia mbele ya haki mkuu!
Subiri siku ya kufa kwake utasikia magazeti yanaandika "Simanzi tena Arusha Bilionea Molel afariki"Thomas Mollel maarufu kwa jina la Askofu ni mfanyabiashara maarufu Arusha aliyevuma miaka ya nyuma. aliwahi kuwa na timu yake ya mpira wa miguu na hoteli zote zikiitwa Palsoni. hivi huyu jamaa bado ana hela?
kichaa akikupokonya taulo ukamkimbiza na wewe pia utaonekana ni.........................