Kwa nini mnakubali kudanganywa na kudanganyika? Biblia inapatikana katika lugha yoyote uitakayo, kwa nini usiitafute na kujisomea ujue ukweli. Yesu Kristu aliwahi kumuuita mbweha mtawala Herode. Soma utajua ukweli achana na maneno ya vijiweni.Yesu alizaliwa wakati taifa lake likitawaliwa na utawala wa kiimla wa Warumi, lakini hakuna hata siku moja Yesu alijihusisha kwa namna yoyote kwenye siasa, hata pale alipowekewa mitego ili atoe maoni ya kisiasa. Wale wanaojiita watumishi wa huyu Yesu, wanaoenda kinyume na Yesu mwenyewe, ndio manabii wa uongo. Maana Yesu ni kielelezo. Hakujihusisha na siasa na aliwaambia ufalme wake si wa hapa duniani.:kev: