Askofu Kulola akamilisha kazi aliyolipwa kuifanya...

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Iliripotiwa hapa JF kuwa baba askofu Moses Kulolwa atafanya mahojiano yatakayoonyeshwa katika vituo vya television kwa gharama za CCM. Naona kweli huyu mzee amekamilisha kazi yake aliyoiita 'kazi ya Mungu'. Jana alionakana kwenye TV akisema kuwa wanaompinga au kumuasi au kumuombea 'mfalme' (Kikwete) aliyepo madarani aondolewe wanafanya kazi za shetani...
 
Hastahili kuwa kiongozi wa kanisa na waumini wake wote wamkimbie ili ajue kwamba hawawezi kuvumilia unafiki wake.
 
Amesahau kazi yake ya kishetani anayoifanya kwa sasa!
Huyu naye kakosa maarifa. Mimi nina doubt sana naye na huo uaskofu wake, inaonesha kapewa mshiko wa kutosha au kaahidiwa kitu kikubwa sana na JK au swahiba wake, LAKINI ATAKUJA KUJUTA NA KUTOA USHUHUDA WA WAZI
 
Kulola ndo anavyomalizia injili yake hapa duniani.
Mungu anamsubiri ampe kilicho chake.
Kumbukeni hii ishu katika kitabu cha 1Wafalme 13: 1 - 26. mwenye kuweza kumpenyezea kulola hii andiko ampatie ili aone namna Mungu anavyoshughulika na watumishi wake ambao hata kama walifanya makubwa lakini wakakosa kwa kitu kidooogo.

Mungu amrehemu kulola. apumzike kwa amani
 
Kuna kiongozi mmoja wa dini huwa anasema hivi vilivyoanzishwa saa hivi na watu walioamua kujiita maaskofu/manabii ni vikundi, sio makanisa.........yani ni sawa na kundi la DDC mlimani park!
 
Hivi inatoa taswira gani kwani wooote wanaompigia JK chapuo wamechoka,Sheikh Yahya, Mrema,Kulola,Kingunge..........................?
 
Yuda Eskarioti na vipande thelathini vya pesa. Nakushauri hizo pesa za takrima wape yatima halafu jinyonge kama msaliti Yuda! Kweli mafisadi jéuri
 
Hivi inatoa taswira gani kwani wooote wanaompigia JK chapuo wamechoka,Sheikh Yahya, Mrema,Kulola,Kingunge..........................?

WAMEISHIWA HAWA-Dhambi huwa haichagui rangi, kabila, dini wala utaifa; Dhambi ileile iliyoitafuna CUF/Lipumba, ndio itakayoitafuna CHADEMA/Dr. Slaa-Unfortunately CUF ina ngome imara Zenj ndo maana inasavive. I do no egemeo la CHADEMA litakuwa wapi!
 
KUMBE HATA MAASKOFU WAWEZA KUINGILIWA NA MAPEPO? Waumini wa Kulola huenda hawajaathiriwa na ufisadi wa CCM - waishi peponi? Baba askofu naomba utafakari vyema maangamizi unayotaka kufanya dhidi ya wanadamu.
 
Back
Top Bottom