Askofu Katoliki Ataka Viongozi Wanaoamini Taifa Halina Uhaba wa Chakula Waombewe Ili Waijue Kweli..!

Rutaca

Member
Nov 13, 2014
94
236
Askofu mkuu wa jimbo la Mwanza Mhashamu Thadeus Ruwaichi amewataka waumini wafunge Novena kuliombea taifa juu ya baa la ukame na njaa pia kuwaombea viongozi watambue kuwa BAA HILO LIPO NCHINI KWA SASA.

Amesema hayo katika Parokia ya Pansiasi katika ibada ya kutoa kipaimara kwa vijana wa kikristo.

Kauli hii inatutaka waumini na raia kuwaombea wale viongozi wanaosema hakuna ukame wala njaa kwa vile wameona majani ni ya kijani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom