Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,838
- 50,542
Nimesari kwa kakobe mwezi mzima - Nimeamua kuacha baada ya kugundua anatumia hisia zake binfasi na kumsingizia Mungu1.Kakobe ni Mhubiri wa Kimataifa huwa anakuwa Marekani,Korea,Uk, nk
2.Ila kuna watu wanafiki.Akiwa nje ya nchi wanasema ametoroka
3.Akitoa comment inayowaumiza wanasema anaingilia mambo ya siasa
4.Akiwapongeza wananyamaza kimya na kutoa wito viongozi wa dini kuhubiri amani kwa nguvu
5.Akihubiri injili ya kweli wanasema anatukana viongozi wa dini nyingine
6.Kwa ufupi wote wanaomtafuta Kakobe huwa hawataki kwenda Mwenge Dar kwenye kanisa lake na wala hawataki mahubiri yake! WANATAKA KUTUMIA KAULI ZAKE KISIASA ALIWAFANIKIWE KATIKA MAMBO HAYO TU !
Ushindwe kwa jina la Yesu. Unafikiri kuna kanisa linalofuata taratibu za Mungu kama full gospal?? Yule mtumishi kaletwa na Mungu duniani ili awaleteee uamusho wa kweli halafu na nyie mnambeza?? tubuni dhambi zenu moto wa jehanam upo mtaungua mileleeeNimesari kwa kakobe mwezi mzima - Nimeamua kuacha baada ya kugundua anatumia hisia zake binfasi na kumsingizia Mungu
Imani ni upofu kabisa, Kakobe kakuharibu akili - Unatakiwa upelekwe rehabilitation center uwe sawaUshindw
Ushindwe kwa jina la Yesu. Unafikiri kuna kanisa linalofuata taratibu za Mungu kama full gospal?? Yule mtumishi kaletwa na Mungu duniani ili awaleteee uamusho wa kweli halafu na nyie mnambeza?? tubuni dhambi zenu moto wa jehanam upo mtaungua mileleee
Wewe unaamini nini maana una imani yako pia imekuharibu ndio maana unapinga ya mwingineImani ni upofu kabisa, Kakobe kakuharibu akili - Unatakiwa upelekwe rehabilitation center uwe sawa
Unamaanisha kabla ya kakobe hakukua nabwatumishi na baada ya yeye hakutakuwako, right??? Mbona enzi za Eliya walikuwepo kina elisha. Mbona enzi za Yesu walikuwapo kina Yohana mbatizaji??[emoji104] [emoji104] [emoji104] [emoji104] [emoji104]Ushindw
Ushindwe kwa jina la Yesu. Unafikiri kuna kanisa linalofuata taratibu za Mungu kama full gospal?? Yule mtumishi kaletwa na Mungu duniani ili awaleteee uamusho wa kweli halafu na nyie mnambeza?? tubuni dhambi zenu moto wa jehanam upo mtaungua mileleee
Kakobe amefufuka na hakika anawanyoosha Lumumba nzimaAskofu Zakaria Kakobe ni mmojwapo wa viongozi wa dini ambao mara kwa mara hujihusisha na siasa za nchi yetu. Mwanzoni kabisa alitumia taarifa mbalimbali za mashirika ya Kimataifa kuonesha jinsi mabilioni ya fedha za wananchi yanavyoliwa kupitia mikataba ya Kandarasi mbalimbali.
Lakini Mwaka 2000 Kakobe kwa uwazi aliamua kusimama upande wa aliyekuwa Mgombea Urais kupitia chama cha TLP Augustine Mrema. Kakobe alizunguka sehemu kubwa ya nchi kumkampenia Mrema na ninakumbuka kwamba alikuwa na vyombo vya kisasa kabisa vya kufanyia mikutano.
Kwenye chaguzi zilizofuatia Kakobe alikuwa mpiga kampeni mwenye uelekeo wa kuunga mkono vyama vingine dhidi ya CCM. Nakumbuka ni Askofu pekee aliyeelekeza waumini wa dhehebu lake kusali siku ya Jumamosi ili wapate fursa ya kupiga kura siku ya Jumapili badala ya kwenda Kanisani.
Mara ya Mwisho Kakobe kuwa kwenye habari za kisiasa ni pale alipotoa tamko lake kulalamika kitendo cha viongozi dini toka Madhehebu ya Wapentekoste kututeuliwa kuingia kwenye Bunge la katiba. Tangu aliposema kwamba CCM itapata laana na chama hicho kukutwa na dhahama ya kutokuelewana baina yao. Baada ya hapo Kakobe kakaa kimya. Je ameacha kujihusisha na mambo ya siasa?