Askofu Kakobe amesimamia neno


MAKAMANDA.




 
Yote ya yote [emoji374] [emoji374] [emoji374] [emoji374] [emoji374] [emoji374] [emoji374] vimekaza
 
Msiishie kumlaumu mtukanaji,
Jifunzeni kuona picha iliyo nyuma ama upande wa pili wa watanzania,
Watu wanachuki kubwa mioyoni,
Chuki ambayo kimsingi inachochewa sana serikali,ilianza bungeni mkanyanyasa wawakilishi wa watu,na sasa mmeingia uraiani mnaminya na kutisha watu,mnachofanya ni sawa na kuziba exhaust valve ya mashine halafu mashine inalipuka mnaanza kulalama,kubana watu,kutisha watu,kunyima Uhuru wa kukosoa ni sawa na kuziba exhaust valve ya mashine ukategemea itadumu,
Acha mtukanwe ni sahihi maana mmejaa utumwa,
 
Asante rafiki Ubarikiwe mno
 
Asante rafiki Ubarikiwe mno
Watumwa wakubwa hawa,Beni alitutukana mkaufyata,
Tendeni haki,
Tusi ni tusi likitukanwa na yyte,tukivurumisha makavu ss mnatuita wavuta bangi,Mara viroba,wakivurumisha matusi mabwana zenu mnaishia kupiga makofi,
Nguvu ya wanaume wa bongo IPO juu ya wanawake zao,lkn kwa wanaume wenzao ni utumwa mtupu,
Tukitaka heshima tuanze kutenda haki
Nyeusi tuseme nyeusi,nyeupe tuseme nyeupe,
Matusi mangapi yanatukanwa na mnaowatumikia na hamkosoi,?
 
Asante rafiki Ubarikiwe mno
Lione! Ukianzisha mada kubali na mawazo mbadala siyo wale tu wanaokubaliana nawe. Vinginevyo weka disclaimer kwenye title ya post yako kuwa mawazo mengine hayaruhusiwi. Fala mkubwa !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…