Askofu Isaya Chambala analinyanyasa kanisa

Askofu Isaya Chambala analinyanyasa kanisa

Una lako jambo! Kwani hamna viongozi walio juu yake upeleke hayo malalamiko yako?
 
Hii kweli ni mahali pake apa?malalamiko mengine bwana,Mbona uongonzi wa kanisa ili unaeleweka kuna ngazi tofauti tofauti simgepeleka Huko kwa ngazi husika ikishindikana ngazi iyo mnapanda mpaka uko juu ingekuwa haya makanisa yakilokole ningekuelewa maana yanamilikiwa na watu binafsi Hilo kanisa siyo la huyo mtu Mbona wote mnajua hakuna wajanja hapo kweli au nyinyi Ndio mnaleta fujo hapo?
 
Malalamiko yamepelekwa mara nyingi huko juu na hakuna jambo lolote linalotekelezwa. Usione tumekuja hapa kwenye jukwaa. Tumefika hadi kwa askofu mkuu lakini hakuna msaada wowote. Msifikiri sisi hatujui kuwa kanisa halina uongozi wa juu. Ofisi za jimbo wanajua suala hili lakini hatua hazijachukuliwa. Sasa tufanyaje
 
Kama Askofu huyu angekuwa pia anajua utaratibu kuwa wako viongozi wakuu juu yake mbona na yeye anawakamata watu na kuwafungulia mashtaka mahakamani. Huu ndiyo utaratibu wa Kanisa Anglikana kweli? Jamani huyu mzee hawezekani jamani ndiyo maana hata tumeamua kuja humu jukwaani
 
makanisa mengi tu. kama hauridhiki na malalamiko yako hayafanyiwi kazi si uhame? kelele za nini JF.
wrong place!
 
Penye rizki hapakosi fitna


Sent from my EyePhone
 
Back
Top Bottom