PastorA JF-Expert Member Joined Jul 14, 2016 Posts 361 Reaction score 275 Aug 7, 2016 #1 Rudisha Radio is on Mixlr Rudisha Radio on Mixlr MSIKILIZE Askofu Gwajima, katika somo la Leo wanarudio kwenye Redio ya Ufufuo na uzima online Redio hii ita kuwepo masaa 24 maneno hayo yamethibitishwa na Mkurugenzi Mkuu wao wa Ufufuo na Uzima Mch.David Mgogolwa
Rudisha Radio is on Mixlr Rudisha Radio on Mixlr MSIKILIZE Askofu Gwajima, katika somo la Leo wanarudio kwenye Redio ya Ufufuo na uzima online Redio hii ita kuwepo masaa 24 maneno hayo yamethibitishwa na Mkurugenzi Mkuu wao wa Ufufuo na Uzima Mch.David Mgogolwa
PastorA JF-Expert Member Joined Jul 14, 2016 Posts 361 Reaction score 275 Aug 7, 2016 Thread starter #2 Huyo ni Mkurugenzi wa Habari na Mahusiano
kalagabaho JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,457 Reaction score 5,898 Aug 7, 2016 #3 Cc: flora Mbasha
Cynic JF-Expert Member Joined Jan 5, 2009 Posts 5,144 Reaction score 1,658 Aug 7, 2016 #4 nilidhani bado anatafutwa, au wamemsamehe?
PastorA JF-Expert Member Joined Jul 14, 2016 Posts 361 Reaction score 275 Aug 8, 2016 Thread starter #5 Leo saa tatu na nusu asubuhi hii Askofu Gwajima anafundisha tena
Jaji Mfawidhi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2016 Posts 16,986 Reaction score 26,095 Aug 8, 2016 #6 Gwajima atafutwe kwa lipi. Hivi unaweza pambana na nguvu za Mungu! Msifanye mchezo,mtapata laana mpaka kizazi cha 4
Gwajima atafutwe kwa lipi. Hivi unaweza pambana na nguvu za Mungu! Msifanye mchezo,mtapata laana mpaka kizazi cha 4
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,233 Reaction score 26,753 Aug 8, 2016 #7 kalagabaho said: Cc: flora Mbasha Click to expand... haaaaa lol...
REDEEMER. JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 8,918 Reaction score 14,896 Aug 8, 2016 #8 Hivi ujenzi wa kanisa ulianza?
D djsanditz New Member Joined Dec 27, 2016 Posts 3 Reaction score 0 Dec 28, 2016 #9 Sikiliza show ya kibabe hapa hapa bofya linklive kabisa USWAZI FM on Mixlr