Ame share mhanga wa watekaji:
TAARIFA KWA UMMA.
KUHUSU WAPI TUTAKUTANA KWENYE MAANDAMANO YETU.
Kila mtu atoke nyumbani kwake aende ilipo BARABARA KUU, hapo ndipo tutakapo kutaniana kila mkoa nchi nzima.
Baada ya kukutana BARABARA KUU tutaanza kuelekea MJINI. Kila mkoa upo Mji ambapo zipo ofisi za serikali na makazi ya watumishi wa serikali huko ndiko tunapoenda na maandamano yetu yatadumu hapo kwa muda usiojulikana.
Tunashindwa kusema tutakutania wapi ili kuwatanua ASKARI washindwe kukaa sehemu moja. Kama tukisema tutaanzia maandamano sehemu fulani basi Askari wote watajaa hilo eneo kwasababu ya uchache wao.
Hivyo MAANDAMANO YETU yataanzia popote ilipo BARABARA kuu kila mkoa. Uelekeo ni “MJINI”, hata vijiji kuna miji yao ambapo kuna ofisi za UMMA na makazi ya Watumishi wa serikali hapo ndipo tutamalizia maandamano yetu kutuma salamu za MAANDAMAO.
AHSANTE.🙏🏿
TUTAKUWEPO🫵🏾😎