Askofu Bagonza anena

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,405
Prof. Kabudi alipigania sana mawaziri wasitokane na wabunge. Rasimu haikutekelezwa lakini Rais ametekeleza kilio chake. Prof Kabudi si mbunge wa kuchaguliwa. Ameteuliwa. Jimbo lake ni aliyemteuwa. Mnaokosoa mna hoja gani kumpinga MTEULIWA anayemshukuru ALIYEMTEUA? -Askofu Bagonza

 
Dada Sky hii ni kweli ndiyo huyo askofu ni Dr wa ukweli
 
Hahaha aise alisema hivyo ?? Sad
Kwa hiyo zile nafasi kumi za Rais kuteua anayemuona anafaa kutoka kwa raia wa kawaida leo mmeitengenezea mada..!!

Kisa cha yote haya ni, nimeokotwa jalalani, nilikuwa maskini.
 
Baba Askofu shingoni hiyo ni n'gwalu au Boroka?
 
Kabudi hata ukimwangalia ile mikausho yake usoni unajua jamaa anamgwaya Sana mkulu
 
Profesa kalamaganda kabugi
Dr. Kikula mkumbo
Mwita tamisemi
Hawa wote ni diraless wachumia tumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…