Askofu Bagonza akosoa kauli ya 'Aliyepewa mimba asirudi', ahoji makosa ya viongozi yangekuwa mimba, wangekuwa na ngapi?

Status
Not open for further replies.
Jifunzeni elimu haina mwisho...bado mnahitaji elimu mambo mengi watanzania hamjui... Nyie ndio wale wale mnaopandisha bei za mafuta ya taa ili wasichakachue petrol... Uwezo wa watanzania kutumia ubongo ni mdogo sana..
Pole sana ndio elimu yetu hatuna wa kumlaumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poor Bagonza!

If you know your enemy than yourself you shall never suffer a defeat
 
Tanzania tunahitaji viongozi wa dini ambayo wanaweza kuongea ukweli bila unafiki kama huyu Askofu ameongea ukweli kabisa.
 
Jipya analo kwani wanaokatishwa masomo ni watoto wetu. Mtetezi mwenye faida wananchi ndo tunamtaka kwa ajili kuwasemea mimi ambaye sina pa kusema.

Baba askofu ushukuriwe kwa kazi kubwa ya kutusemea .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaacha kujadili hoja, unajadili mtu.
poor you.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
=======

Unaandika kana kwamba wewe ndiye uliyeleta clip ya huyo Askofu ili uipotoshe. Nikiisikiliza sioni unachosema maana hata mheshimiwa rais wetu hajatajwa katika hiyo clip.
 
Mbona tunaukumbatia unyonge kama vile ni sifa kuwa mnyonge?. Nchi huru bado tunaimba wimbo wa unyonge? Ni aibu kuendelea kuwa na taifa huru la wanyonge!!
 
Jipya analo kwani wanaokatishwa masomo ni watoto wetu. Mtetezi mwenye faida wananchi ndo tunamtaka kwa ajili kuwasemea mimi ambaye sina pa kusema.

Baba askofu ushukuriwe kwa kazi kubwa ya kutusemea .

Sent using Jamii Forums mobile app

Shida siyo maoni aliotoa Askofu Bagonza juu ya wanafunzi wanaopata mimba. Akitumia lugha ya picha, amemuonea na kumshambulia Mhe. Rais bila sababu na hii siyo mara ya kwanza. Binafsi ninamfahamu, Askofu Benson Bagonza ana mtazamo hasi kwa Mhe. Rais wetu. This should STOP, period!
 
Nilichangia bila kusikiliza hiyo clip..sasa nimeisikia ni maneno makali sana....kwa kiongozi mwenye hofu ya Mungu asa yule anayesema anamtanguliza Mungu mbele na kila siku kuomba aombewe...ajitathimini kwa kauli zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ikitokea amepata, inasaidiaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…