Sikonge Platinum Member Joined Jan 19, 2008 Posts 11,635 Reaction score 6,238 May 24, 2014 #1 Askofu mmoja hivi karibuni aktokea Dar akielekea bara, akapita maeneo ya Mlandizi na kumuona Dada mzuri kasimama peke yake akisubiri WATEJA. Askofu akashindwa kuvumilia na kusimamisha gari na akamfuata na kumwambia Askofu: Mwandangu, umepotea kabisa njia. Dada Poa: Ehh, baba Askofu, ina maana sasa hivi huku Maroli hayapiti?
Askofu mmoja hivi karibuni aktokea Dar akielekea bara, akapita maeneo ya Mlandizi na kumuona Dada mzuri kasimama peke yake akisubiri WATEJA. Askofu akashindwa kuvumilia na kusimamisha gari na akamfuata na kumwambia Askofu: Mwandangu, umepotea kabisa njia. Dada Poa: Ehh, baba Askofu, ina maana sasa hivi huku Maroli hayapiti?
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 May 24, 2014 #2 Peleka jukwaa la jokes Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk