Askofu akimbia makazi Zanzibar

Jicho la Tai

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
1,458
Reaction score
617
Kuna askofu wa kanisa la anglikana wa zanzibar Michael Hafidh amekimbia makaz zanzibar kwa kuhofia usalama wake mara baada ya kutishiwa na UAMSHO.
Chanzo: BBC
 
Ni Askofu wa Anglicana na Askofu Shayo wa Kanisa katoliki. Alohojiwa na BBC ni yule mwanglicana na yeye mwenyewe akasema kuwa Askofu Shayo pia amekimbia!!!
 
Dah!
Zanzibar ishakuwa sehemu hatari kwa wakristo kuishi.
 
Jumuia ya uamusho wametoa onyo kuwa kama amiri wao hajapatikina mpaka leo basi watachinja mapdri na polisi. Jana waliekwenda makaburini na kungoa misalaba yote ya makaburi na kuitupa barabarani na kuharibu hosteli inayomilikiwa na kanisa la Anglicana mkunazini.
 

wakristo ndo wanamshikilia huyo shehe?

Au marehemu (mifupa iliyobaki huko makaburini) ndo inamshikilia shehe?

Raisi wao mkristu?

Makamu mristu?

Hivi wana ubongo vichwani mwao au?
 
Ni kweli hata mm nimesikia, na walifukua makaburi ya wakristo wakazibonda maiti kwa mawe
 
Reactions: FJM
Ni kweli hata mm nimesikia, na walifukua makaburi ya wakristo wakazibonda maiti kwa mawe
Mungu wangu!!hawa watu wana akiri sawa swa huku vichwani mwao!!hadi marehemu wanashida nao!!!!
 
Ngoma inogile sasa. Waliambiwa wasiwaangalia nyani usoni wakafanya mchezo sasa nyani kaamka! Ubaya ni kuumia hata wasiokuwemo.
 
hawa watu watakuwa na matatizo,wanashindwa ht kumtabua adui.
 
kama serikali na vyombo vyake vya dola vipo wanashindwa nini kuchukua hatua za kisheria, isije ikawa janja ya viongozi wenyewe zanzibar kujidai wanalinda wakristo na mali zao kumbe mlango wa nyuma wanasupport kuangamizwa kwa mali za wakiristo, hiyo ni ajenda ya siku nyingi tangu enzi za uhai wa kina ghadaf
 
wasingekuepo wakristu hizo hasira wangezielekeza wapi.?
 
udini,na kukosa elimu pengine.kwa m2 wa kawaida haikuingii akilini!
 
Ni kweli hata mm nimesikia, na walifukua makaburi ya wakristo wakazibonda maiti kwa mawe

Watu tushawahi kula ban humu kwa kueleza vifungu vya kitabu chao vinavyobainisha kuwa imani hii ina ushetani! Mambo gani haya wanafanya!
 
Siku hizi ni vigumu kupata Watakatifu ambao ni mashahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…