Johnbosco Mligo
Member
- Apr 7, 2012
- 52
- 8
Mpendwa sana askofu mstaafu raymound mwanyika wa jimbo katoliki njombe amefariki dunia! Mwenyezi mungu ampkokee kwake na amuheasabie mema yake yote na kumsamehe madhaifu yake.
amezikwa janaAlifariki last week, leo ndo yalikuwa maziko yake!!!!!!
Oh, uzee huu mkuu ndo unonisumbua, nilijua kweli alipaswa kuwa amezikwa trh 29/10, nikafikiri leo ndo trh 29 kumbe ni jana. Thanx for reminding me mkuu!!!!!amezikwa jana
a