Nyakibimbili
Senior Member
- May 4, 2019
- 185
- 286
askari magereza lazima wawe vizuri think watu walioshindikana huku mtaani wao ndio wanaishi nao, unategemea watakuwa ni watu wa mchezo mchezo[emoji23][emoji23][emoji23]Hao ni (KM) ni sawa na (FFU) au (MP).
Alafu kuwa mwanajeshi au askari wa jeshi lolote haimaanishi ndio unajua kupigana.
Kupigana ni uwezo wa mtu binafsi.
[emoji16][emoji16][emoji16] sio watu wa mchezo mchezo wale wawaulize wenzao juzi kule walivyochezea vitasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Magereza wana kikosi ambacho kiko vizuri kuliko FFU wanagonga ngumi hatari sana
Sure mzee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani njemba zote zilizoshindikana huku kitaa wao ndo wanaishi nao daily afu wawe wachovuaskari magereza lazima wawe vizuri think watu walioshindikana huku mtaani wao ndio wanaishi nao, unategemea watakuwa ni watu wa mchezo mchezo[emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee kweli Leo nimekubali,mijamaa ilikuwa inavuma mithili ya jiwe la kombeoaskari magereza lazima wawe vizuri think watu walioshindikana huku mtaani wao ndio wanaishi nao, unategemea watakuwa ni watu wa mchezo mchezo[emoji23][emoji23][emoji23]
Tulia raiaKWANI ASKARI SIYO RAIA? hii kauli ya RAIA Siipendi kama nini!
Kashindwa kuchukua kavideo 😏Hili ni la kuchekesha we unasikitikaje?
Matukio kama haya ndio yanafanya mtaa uchangamke....mie huwa nikikuta hivi njiani nasimama hadi mwisho wa show
Acha kuchezea FFU mjomba,embu tembelea Ukonga pale ujionee.Wale jamaa siyo watu wazuri wapo wengine walienda Jordan na Marekani kupata mafunzo ya juu.Mafunzo hayo(madini) ndio wanawalisha FFU wote nchini.Magereza wana kikosi ambacho kiko vizuri kuliko FFU wanagonga ngumi hatari sana