kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Na wao hasa Jeshi la Polisi wajiongeze. Ni Jeshi hovyooo linalohitaji kusukwa upya. Haliheshimiki.Nimekutana na Askari mmoja tulisoma wote primary miaka 1995, katika mazungumzo akanidokeza kwamba alifanikiwa kujiendeleza na Sasa Ni graduate kwa miaka minne Sasa ila analipwa nakutambulika kama sejini. Kumuuliza kwanini akasema wamewabania kuwapandisha na hata kutambua elimu zao. Anatamani uchaguzi huu ukamlete mtu anayeweza kuwatetea wasikae Tena miaka mitano bila elimu zao kutambulika wala kulipwa.
Jambo la pili akasema, anatamani Askari waache kujinunulia na kushona uniform kwa gharama zao wenyewe. Kipindi Cha nyuma walikuwa wanashonewa uniform ila Sasa hivi wameachwa wajitaftie wenyewe. Ana kiu yakuona thamani yao nakuwapa stahiki zao.
Jambo la tatu, nyumba hazitoshi na wanaokaa uraiani awalipiwi Kodi ya nyumba. Umeme maeneo mengine wanajinunulia tofauti na huko tulikotoka...akitokea wakuwasemea atampa kura.
Nilipomuuliza kwanini Wana changamoto lukuki lakini azitamkwi popote akasema wanatii bila shuruti. Lakini pia malipo mengi yanajadiliwa Bungeni ila ukweli hawalipwi.
Wanasiasa wasaidieni walinzi wenu, tungependa muwe mnasikiliza waache kulalamika mtaani na kwenye vijiwe, waache kutusimamisha na magari nakuchukua elfu mojamoja... graduate kuchukua rushwa ya elfu moja Tena mlinzi wa Mali zetu nadhani nikutaka apate pesa yakulisha familia na kushona uniform
Siku zilizobaki waelezeni mtawasaidiaje?
Weka I'd yake tufanyie kaziNimekutana na Askari mmoja tulisoma wote primary miaka 1995, katika mazungumzo akanidokeza kwamba alifanikiwa kujiendeleza na Sasa Ni graduate kwa miaka minne Sasa ila analipwa nakutambulika kama sejini. Kumuuliza kwanini akasema wamewabania kuwapandisha na hata kutambua elimu zao. Anatamani uchaguzi huu ukamlete mtu anayeweza kuwatetea wasikae Tena miaka mitano bila elimu zao kutambulika wala kulipwa.
Jambo la pili akasema, anatamani Askari waache kujinunulia na kushona uniform kwa gharama zao wenyewe. Kipindi Cha nyuma walikuwa wanashonewa uniform ila Sasa hivi wameachwa wajitaftie wenyewe. Ana kiu yakuona thamani yao nakuwapa stahiki zao.
Jambo la tatu, nyumba hazitoshi na wanaokaa uraiani awalipiwi Kodi ya nyumba. Umeme maeneo mengine wanajinunulia tofauti na huko tulikotoka...akitokea wakuwasemea atampa kura.
Nilipomuuliza kwanini Wana changamoto lukuki lakini azitamkwi popote akasema wanatii bila shuruti. Lakini pia malipo mengi yanajadiliwa Bungeni ila ukweli hawalipwi.
Wanasiasa wasaidieni walinzi wenu, tungependa muwe mnasikiliza waache kulalamika mtaani na kwenye vijiwe, waache kutusimamisha na magari nakuchukua elfu mojamoja... graduate kuchukua rushwa ya elfu moja Tena mlinzi wa Mali zetu nadhani nikutaka apate pesa yakulisha familia na kushona uniform
Siku zilizobaki waelezeni mtawasaidiaje?
Ni rafiki yake ndugu ,anamueleza changamoto za kazi yake kwani vibaya?.vile vile ujue Askari yupo kwa ajili ya raia.Sasa askari anakulalamikia wewe raia kama nani?
HeeeNimekutana na Askari mmoja tulisoma wote primary miaka 1995, katika mazungumzo akanidokeza kwamba alifanikiwa kujiendeleza na Sasa Ni graduate kwa miaka minne Sasa ila analipwa nakutambulika kama sejini. Kumuuliza kwanini akasema wamewabania kuwapandisha na hata kutambua elimu zao. Anatamani uchaguzi huu ukamlete mtu anayeweza kuwatetea wasikae Tena miaka mitano bila elimu zao kutambulika wala kulipwa.
Jambo la pili akasema, anatamani Askari waache kujinunulia na kushona uniform kwa gharama zao wenyewe. Kipindi Cha nyuma walikuwa wanashonewa uniform ila Sasa hivi wameachwa wajitaftie wenyewe. Ana kiu yakuona thamani yao nakuwapa stahiki zao.
Jambo la tatu, nyumba hazitoshi na wanaokaa uraiani awalipiwi Kodi ya nyumba. Umeme maeneo mengine wanajinunulia tofauti na huko tulikotoka...akitokea wakuwasemea atampa kura.
Nilipomuuliza kwanini Wana changamoto lukuki lakini azitamkwi popote akasema wanatii bila shuruti. Lakini pia malipo mengi yanajadiliwa Bungeni ila ukweli hawalipwi.
Wanasiasa wasaidieni walinzi wenu, tungependa muwe mnasikiliza waache kulalamika mtaani na kwenye vijiwe, waache kutusimamisha na magari nakuchukua elfu mojamoja... graduate kuchukua rushwa ya elfu moja Tena mlinzi wa Mali zetu nadhani nikutaka apate pesa yakulisha familia na kushona uniform
Siku zilizobaki waelezeni mtawasaidiaje?
Wewe ni askari acha kutubabaisha mambo ya vyeo, mishahara, Likizo, nyumba nk pambaneni na ujinga wenu! Watetezi wenu mnawapiga mabomu ya machozi unakuja kulialia hapa nenda kapige kura 28/10/2020 kama mtapenda kuendelea naye aliyewanyang'anya maduka yenu na posho zenu, shauri yenu.Nimekutana na Askari mmoja tulisoma wote primary miaka 1995, katika mazungumzo akanidokeza kwamba alifanikiwa kujiendeleza na Sasa Ni graduate kwa miaka minne Sasa ila analipwa nakutambulika kama sejini. Kumuuliza kwanini akasema wamewabania kuwapandisha na hata kutambua elimu zao. Anatamani uchaguzi huu ukamlete mtu anayeweza kuwatetea wasikae Tena miaka mitano bila elimu zao kutambulika wala kulipwa.
Jambo la pili akasema, anatamani Askari waache kujinunulia na kushona uniform kwa gharama zao wenyewe. Kipindi Cha nyuma walikuwa wanashonewa uniform ila Sasa hivi wameachwa wajitaftie wenyewe. Ana kiu yakuona thamani yao nakuwapa stahiki zao.
Jambo la tatu, nyumba hazitoshi na wanaokaa uraiani awalipiwi Kodi ya nyumba. Umeme maeneo mengine wanajinunulia tofauti na huko tulikotoka...akitokea wakuwasemea atampa kura.
Nilipomuuliza kwanini Wana changamoto lukuki lakini azitamkwi popote akasema wanatii bila shuruti. Lakini pia malipo mengi yanajadiliwa Bungeni ila ukweli hawalipwi.
Wanasiasa wasaidieni walinzi wenu, tungependa muwe mnasikiliza waache kulalamika mtaani na kwenye vijiwe, waache kutusimamisha na magari nakuchukua elfu mojamoja... graduate kuchukua rushwa ya elfu moja Tena mlinzi wa Mali zetu nadhani nikutaka apate pesa yakulisha familia na kushona uniform
Siku zilizobaki waelezeni mtawasaidiaje?
Ndio maana Wana msongo mkubwa wa mawazo,ukiaangalia wale waliovamia ofisi ya Mhe Matiko,na kumkamata mlinzi wake Kama jambazi,wacha wasulubiwe,Nimekutana na Askari mmoja tulisoma wote primary miaka 1995, katika mazungumzo akanidokeza kwamba alifanikiwa kujiendeleza na Sasa Ni graduate kwa miaka minne Sasa ila analipwa nakutambulika kama sejini. Kumuuliza kwanini akasema wamewabania kuwapandisha na hata kutambua elimu zao. Anatamani uchaguzi huu ukamlete mtu anayeweza kuwatetea wasikae Tena miaka mitano bila elimu zao kutambulika wala kulipwa.
Jambo la pili akasema, anatamani Askari waache kujinunulia na kushona uniform kwa gharama zao wenyewe. Kipindi Cha nyuma walikuwa wanashonewa uniform ila Sasa hivi wameachwa wajitaftie wenyewe. Ana kiu yakuona thamani yao nakuwapa stahiki zao.
Jambo la tatu, nyumba hazitoshi na wanaokaa uraiani awalipiwi Kodi ya nyumba. Umeme maeneo mengine wanajinunulia tofauti na huko tulikotoka...akitokea wakuwasemea atampa kura.
Nilipomuuliza kwanini Wana changamoto lukuki lakini azitamkwi popote akasema wanatii bila shuruti. Lakini pia malipo mengi yanajadiliwa Bungeni ila ukweli hawalipwi.
Wanasiasa wasaidieni walinzi wenu, tungependa muwe mnasikiliza waache kulalamika mtaani na kwenye vijiwe, waache kutusimamisha na magari nakuchukua elfu mojamoja... graduate kuchukua rushwa ya elfu moja Tena mlinzi wa Mali zetu nadhani nikutaka apate pesa yakulisha familia na kushona uniform
Siku zilizobaki waelezeni mtawasaidiaje?
Mwaka gani alimaliza bachelor?Nimekutana na Askari mmoja tulisoma wote primary miaka 1995, katika mazungumzo akanidokeza kwamba alifanikiwa kujiendeleza na Sasa Ni graduate kwa miaka minne Sasa ila analipwa nakutambulika kama sejini. Kumuuliza kwanini akasema wamewabania kuwapandisha na hata kutambua elimu zao. Anatamani uchaguzi huu ukamlete mtu anayeweza kuwatetea wasikae Tena miaka mitano bila elimu zao kutambulika wala kulipwa.
Jambo la pili akasema, anatamani Askari waache kujinunulia na kushona uniform kwa gharama zao wenyewe. Kipindi Cha nyuma walikuwa wanashonewa uniform ila Sasa hivi wameachwa wajitaftie wenyewe. Ana kiu yakuona thamani yao nakuwapa stahiki zao.
Jambo la tatu, nyumba hazitoshi na wanaokaa uraiani awalipiwi Kodi ya nyumba. Umeme maeneo mengine wanajinunulia tofauti na huko tulikotoka...akitokea wakuwasemea atampa kura.
Nilipomuuliza kwanini Wana changamoto lukuki lakini azitamkwi popote akasema wanatii bila shuruti. Lakini pia malipo mengi yanajadiliwa Bungeni ila ukweli hawalipwi.
Wanasiasa wasaidieni walinzi wenu, tungependa muwe mnasikiliza waache kulalamika mtaani na kwenye vijiwe, waache kutusimamisha na magari nakuchukua elfu mojamoja... graduate kuchukua rushwa ya elfu moja Tena mlinzi wa Mali zetu nadhani nikutaka apate pesa yakulisha familia na kushona uniform
Siku zilizobaki waelezeni mtawasaidiaje?
Punguza pupa, katika maisha yako umewahi kusikia kuna kambi ya walimu au madaktari!?Ndio maana Wana msongo mkubwa wa mawazo,ukiaangalia wale waliovamia ofisi ya Mhe Matiko,na kumkamata mlinzi wake Kama jambazi,wacha wasulubiwe,
Kwanini wao walipiwe Kodi,mbona walimu,madakitsri na watumishi wa kada nyingine hawalipiwi?
Swali konki hili limekaa kiakili sana hahaaa...!Sasa askari anakulalamikia wewe raia kama nani?
Si Askari wote wapo kwa ajili ya raia SirNi rafiki yake ndugu ,anamueleza changamoto za kazi yake kwani vibaya?.vile vile ujue Askari yupo kwa ajili ya raia.
I'm also wondering 😵Sasa askari anakulalamikia wewe raia kama nani?