Sahani20
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 1,518
- 740
Kwa wenzangu wa usalama. Hv ni sahihi kila siku askari wa umoja wa mataifa kila siku wako kwenye msitu wa beni wanawatafuta waasi wa ADF na haiwapati. Inakuaje kila siku wako beni mauaji yanatendeka na wao askari wapo huko porini.
Kwa mwenye uelewa kuhusu huo msitu ina ukubwa kiasi gani. Kwa anaeifahamu vizuri anisaidie. Asante
Kwa mwenye uelewa kuhusu huo msitu ina ukubwa kiasi gani. Kwa anaeifahamu vizuri anisaidie. Asante