Askari wa usalama barabarani Kimara Bucha

Kuna mwenzao hapo kaisha kufa alikuwa bonge usenge wake kama huo yupo kwa pilato anabana makalio wamerudia ujinga ngoja nipite ntawanyosha
 
Kuna kajamaa kana V2 pale kanajidaigi kajuaji kinoma. ....
Akiona uwezekano wa kumpa hela haupo anakuweka pale hata masaa matatu. ..
Very very low level cop
 
Kuna mmoja mrefu akivaa kofia huwa haimkai poa kwa sababu ya kichwa kikubwa[emoji16] huwa anajiamini sana
 
Kweli mkuu hawa wa mbagara wapo busy kupungaza foreni,ni ngumu sana kumuona askali kasimamisha gari,yaan kuna muda nasemaga hii mbagara ndio hiihii daslam au???Njoo hapa roundabout ya zamani hii barabara ya uhuru uone kazi yake
 
Mbona leo nimepita saa sita mchana sijawaona au ndio wameshasoma huu UZI
 


Aliyewajengea kiota hapo ndiye wa kulaumiwa, walitakiwa kuhamishwa kila siku
 
Daa poleni sana..
Mi kuna gari langu lina plate namba za kawaida ila sio langu nila ofisi basi washalijua huwa nikipita wanajishtukia sana maana kuna mmoja nilimbananisha hadi kaomba msamaha[emoji2][emoji2]
[emoji477][emoji477][emoji477]
 
Mpakize mtu wa takukuru then chukueni video uyauee na wewe roho yako ilidhike
 
Ukisimamishwa usisimame, hawana muda wa kukukimbiza.
 
Kuna kajamaa kana V2 pale kanajidaigi kajuaji kinoma. ....
Akiona uwezekano wa kumpa hela haupo anakuweka pale hata masaa matatu. ..
Very very low level cop
Siku hizi kana wahi saa 12 kamili kamesha fika .. utakuta kanakabegi mgongoni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…