Askari wa usalama barabarani Kimara Bucha

Askari wa usalama barabarani Kimara Bucha

Kuna mwenzao hapo kaisha kufa alikuwa bonge usenge wake kama huo yupo kwa pilato anabana makalio wamerudia ujinga ngoja nipite ntawanyosha
 
Habari wandugu,

Napenda kuwapa tahadhari juu ya kikundi cha askari wa usalama barabarani wanaopenda kukaa maeneo ya Kimara Kona ama Kimara Bucha. Askari hawa ni wahuni na wanabambikia watu kesi kila mara, na muda mwingine ukibishana nao wanakukariri gari yako na kuchukua number ya leseni yako wanakua wanakuandikia faini ilihali huna kosa wala hujakubaliana na kosa tajwa kama sheria inavyoelekeza.
Kuna kajamaa kana V2 pale kanajidaigi kajuaji kinoma. ....
Akiona uwezekano wa kumpa hela haupo anakuweka pale hata masaa matatu. ..
Very very low level cop
 
Kuna mmoja mrefu akivaa kofia huwa haimkai poa kwa sababu ya kichwa kikubwa huwa anajiamini sana
 
Wale askari ni wapumbavu.. tunafanya mpango wa kuweka kamera pale wanapo oza kochi.

Wale wanaokaa kona wakijificha kwenye bajaji siku hizi hawapo ila wamehamia hapa rombo.

Kila daladala inayopita wanachukua 3000.

Kila gari la mzigo hasa magari madogo ambayo yanachukua bidhaa kama nyanya .. ndizi etc wanachukua 5000.

Magari binafsi wanakubambia makosa mengi ili utoe 10000 au 20000 bila kuandikiwa.

Cha ajabu ni askari hao hao kila siku wana kaa hapo.

Mbona huku mbagala hakuna mambo ya kiboya hayo..
Kweli mkuu hawa wa mbagara wapo busy kupungaza foreni,ni ngumu sana kumuona askali kasimamisha gari,yaan kuna muda nasemaga hii mbagara ndio hiihii daslam au???Njoo hapa roundabout ya zamani hii barabara ya uhuru uone kazi yake
 
Mbona leo nimepita saa sita mchana sijawaona au ndio wameshasoma huu UZI
 
Habari wandugu,

Napenda kuwapa tahadhari juu ya kikundi cha askari wa usalama barabarani wanaopenda kukaa maeneo ya Kimara Kona ama Kimara Bucha. Askari hawa ni wahuni na wanabambikia watu kesi kila mara, na muda mwingine ukibishana nao wanakukariri gari yako na kuchukua number ya leseni yako wanakua wanakuandikia faini ilihali huna kosa wala hujakubaliana na kosa tajwa kama sheria inavyoelekeza.

Aliyewajengea kiota hapo ndiye wa kulaumiwa, walitakiwa kuhamishwa kila siku
 
Daa poleni sana..
Mi kuna gari langu lina plate namba za kawaida ila sio langu nila ofisi basi washalijua huwa nikipita wanajishtukia sana maana kuna mmoja nilimbananisha hadi kaomba msamaha
 
Mpakize mtu wa takukuru then chukueni video uyauee na wewe roho yako ilidhike
 
Ukisimamishwa usisimame, hawana muda wa kukukimbiza.
 
Kuna kajamaa kana V2 pale kanajidaigi kajuaji kinoma. ....
Akiona uwezekano wa kumpa hela haupo anakuweka pale hata masaa matatu. ..
Very very low level cop
Siku hizi kana wahi saa 12 kamili kamesha fika .. utakuta kanakabegi mgongoni..
 
Back
Top Bottom