CriticalThinkerBee
Member
- Jun 13, 2015
- 8
- 22
Habari wandugu,
Napenda kuwapa tahadhari juu ya kikundi cha askari wa usalama barabarani wanaopenda kukaa maeneo ya Kimara Kona ama Kimara Bucha. Askari hawa ni wahuni na wanabambikia watu kesi kila mara, na muda mwingine ukibishana nao wanakukariri gari yako na kuchukua number ya leseni yako wanakua wanakuandikia faini ilihali huna kosa wala hujakubaliana na kosa tajwa kama sheria inavyoelekeza.

siyo cha kispoti, ukiwa na gari na ukaamua kupita pale lazima wakule kichwa!! nikisubiri mwendo kasi pale bandani huwa nawachora tu wanavyowafyeka.