Mapengo 17
R I P
- Mar 28, 2014
- 1,228
- 618
na vitabu vingi walionavyo ni feki,sio vile vinavyotolewa na serikali,hii nimeishuhudia live kama miezi miwili hivi iliyopita.tulikuwa kwenye gari binafsi,kufika njia panda ya segerea tukasimamishwa,ni kweli driver wetu alikuwa na kosa,hakufuata sheria ya njia tatu,.trafiki mdada akakomaa na sisi,tukamwambia tuna jambo la muhimu sana na hatuna hela hapo tulipo,driver aache leseni atupeleke halafu atakuja kulipa faini achuku leseni yake.mdada kakataa katakata anataka hela.tukamwambia twende tukailipe kituoni.akaingia ndani ya gari tukaenda stakishari.yule aliyetuandikia stakabadhi akashangaa kuiona fomu tuliyoandikiwa.akamuuliza yule dada hiyo kaitoa wapi.mdada kimya kainamisha kichwa chini hana cha kujibu.yule kaka katuandikie nyingine,tukakataa,tukamwambia tutalipia kwa ile ile tuliyoandikiwa na mdada,kaka kashindwa kuzima soo.ikatokea bahati nzuri aliingia askari mmoja ambae kuna mmoja kati yetu alikuwa akifahamiana nae.wakatoka pembeni wakateta kidogo,then jamaa katuambia tukubali tu kuandikiwa nyingine then tusepe.tukawa tumeyamaliza kikubwa but bidada hata cjui alitokaje kwenye chumba tulichokuwemo
Kila mtu akitimiza wajibu wake huwezi kulalamika, soma kanuni za ukaguzi wa magari na weka kila kitu kinachotakiwa kuwepo, usumufu kama huu hauta upata. tatizo na sisi tunapenda sana mteremko ndio maana trafic wanatajirikia kwetu.
Hahahahahhaaaa...hii kali. Ngoja nijaribu kupita na gari chafu nione ukweliPale Shekilango ikitokea hauna kosa lolote watakwambia gari chafu. Ili mradi tu "wakulambe".
kama mmegundua tangu wiki mbili zilizopita, siku hizi kila traffic ana kitabu mkononi mwake katika maeneo mbalimbali jijini das es salaam, wamepewa zoezi la kukamata watu wenye makosa barabarani na kila kosa faini ni shilingi elfu thelathini, na kila traffic lazima arudi na makosa matano kwa siku lasivyo anavuliwa uniform na anarudishwa ffu.
Wekeni vitu vyenu vyote sawa kwenye magari, watajaribu kutafuta kosa la aina yoyote lile ili wakupige faini.
Pale Shekilango ikitokea hauna kosa lolote watakwambia gari chafu. Ili mradi tu "wakulambe".
na vitabu vingi walionavyo ni feki,sio vile vinavyotolewa na serikali,hii nimeishuhudia live kama miezi miwili hivi iliyopita.tulikuwa kwenye gari binafsi,kufika njia panda ya segerea tukasimamishwa,ni kweli driver wetu alikuwa na kosa,hakufuata sheria ya njia tatu,.trafiki mdada akakomaa na sisi,tukamwambia tuna jambo la muhimu sana na hatuna hela hapo tulipo,driver aache leseni atupeleke halafu atakuja kulipa faini achuku leseni yake.mdada kakataa katakata anataka hela.tukamwambia twende tukailipe kituoni.akaingia ndani ya gari tukaenda stakishari.yule aliyetuandikia stakabadhi akashangaa kuiona fomu tuliyoandikiwa.akamuuliza yule dada hiyo kaitoa wapi.mdada kimya kainamisha kichwa chini hana cha kujibu.yule kaka katuandikie nyingine,tukakataa,tukamwambia tutalipia kwa ile ile tuliyoandikiwa na mdada,kaka kashindwa kuzima soo.ikatokea bahati nzuri aliingia askari mmoja ambae kuna mmoja kati yetu alikuwa akifahamiana nae.wakatoka pembeni wakateta kidogo,then jamaa katuambia tukubali tu kuandikiwa nyingine then tusepe.tukawa tumeyamaliza kikubwa but bidada hata cjui alitokaje kwenye chumba tulichokuwemo
Kila mtu akitimiza wajibu wake huwezi kulalamika, soma kanuni za ukaguzi wa magari na weka kila kitu kinachotakiwa kuwepo, usumufu kama huu hauta upata. tatizo na sisi tunapenda sana mteremko ndio maana trafic wanatajirikia kwetu.
Kama mmegundua tangu wiki mbili zilizopita, siku hizi kila Traffic ana kitabu mkononi mwake katika maeneo mbalimbali jijini Das es Salaam, wamepewa zoezi la kukamata watu wenye makosa barabarani na kila kosa faini ni shilingi elfu thelathini, na kila Traffic lazima arudi na makosa matano kwa siku lasivyo anavuliwa uniform na anarudishwa FFU.
Wekeni vitu vyenu vyote sawa kwenye magari, watajaribu kutafuta kosa la aina yoyote lile ili wakupige faini.
Unajua ni magari mangapi mabovu yanatembea barabarani? na unajua ajali ngapi zinasababishwa na magari mabovu? ni mara chache sana hilo unalolisema linatokea, maaana mara nyingi wakikagua na kukuta una kila kitu hua wanakuachia labda tu itokee jamaa ana njaa sanaHawewezi kukosa kosa hata kama una kila kitu; utaratibu huu ni kichocheo cha rushwa. Kwanini usimamishe gari na kuanza kutafuta kosa ambalo halionekani? Magari yakaguliwe tu pale kama kuna ajali au operation maalum ya ukaguzi period!