Askari wa nchi gan huyu?

Tanzania tena askari huyo ni wa ile kambi ya Maofisa kule Kiabakari hiviiiii
 
Kulaleki atulie uone cha moto
 
kepten faakiii nsubirie mie n'geni na bala hili c jui dudu ganiii weyeeeeee makameee!!! kesha chaji huyuuuu!!!!!!!!
 
Hii ni Tanzania tu. Farasi na Pundamilia wana akili sana na huwa wanakimbiza watu. Hawa Pundamilia walifikiri huyo ni Kinana amekwenda kuwaua.
 
anaogopa punda daah hatare ingekua simba je sipati picha
 

Hawa askari ni wa JWTZ wanawanywesha maji, hapa ni katika michezo na wanyama na si uadui kwa sababu huu wa nyuma ndiye atakayemtia kitanzi mguu wa nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…