miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Mkuu tusiwalaumu wale maafisa usalama. Kwanza wanatekeleza wajibu wao kufuatana na sheria za ICAO.
Mwanzo hata mie sikuelewa ila niliambiwa kuwa lotion, maji au in short vimiminika vinaruhusiwa ndani ya ndege ILA ujazo wake usizidi 100mls.
Begi kubwa linawekwa sehemu ya mizigo ...... we unakwenda kuboard na hand bang,back pack etc
kuboard ndiyo nini? mmh bwana labda nitaelewa siku ingine
Kuingia ndani ya ndege ......haya utaelewa tuu taratibu
mimi siwalaumu hta siwajui
Ahahaaaaaa. Nakujua wewe. Safari za moshi haukosekani kwenye mabasi ya Princes Muro ndo maana hauwajui.
Hawa jamaa inaonyesha huwa wanasubiria mafuta na perfume wachukue yaani ni big deal kwao leo perfume yangu inakaribia kuishi walivyoishambulia kama mpira wa kona..
Acha ungese wewe! Au ulitaka tujue kuwa umepanda ndege? Ushamba sana huo. It is absolutely known throughout the World kwa haupaswi kuingia na perfumes kwa ndege.
Acha kujirusha kiboya wewe. Ukute ata habari hiyo umehadithiwa tu unakuja kuturusha kiboya tu humu ndani.
Kwaiyo sasa tulaumu Askari hao eeeh??
**Jiongeze brightoscar .**
Mbona fujo dada? Mweleze kistaarabu atakuelewa.
Sasa unawashwa nini apo! Can i near & scratch you there? Sorry Baby!