gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 12,985
- 15,950
Askari wa jeshi lowezi huko palestina aliliwa na papa alipokua akipoza fuvu kwa kuogelea baharini huko palestina
Ufuo huo sasa unaogopwa na wazayuni,maana papa walionekana kurudi tena na kurandaranda baada ya kuonja kitoweo cha kilowezi
Ufuo huo sasa unaogopwa na wazayuni,maana papa walionekana kurudi tena na kurandaranda baada ya kuonja kitoweo cha kilowezi