Ipi mkuuNi Kigamboni Bridge, kuweni makini. Speed limit ni 30kph ndio wanatega hapo kukusanya Government revenue. Mwendo wa Magufuri huo.
Tupe mkuu hiyo appHawa hawana shida, kuna application ukitumia unajua wako wapi unaanza kwenda mdo mdo...simpo..!
Nenda play store, download speed camera and traffic sygic.Tupe mkuu hiyo app
Application unayoweza kutumia kujua wazee wa tochiIpi nini?
DuNgoja wataalamu waje kukupa, lakini ninavyojua mimi ni kinyume na sheria kuwa na hiyo kitu.
Hawa hawana shida, kuna application ukitumia unajua wako wapi unaanza kwenda mdo mdo...simpo..!
kwa sababu wanawaongoza watu ambao akili zao si nzuriHawa watu akili zao huwa si nzuri