Askari Polisi nao ni binadamu

Mbona jibu ni rahisi, ile risasi ilifyatuliwa na mfanyakazi wa TANESCO kwa sababu kwenye yale maandamano Kulikuwa kuna watu ambao wamefungiwa mita mpya za LUKU halafu hawajalipia zile units 50 (TSHS 18,000/=) ndani ya wiki moja kama utaratibu unavyotaka.

VITU VINGINE TUNAWAONEA POLISI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…