Askari polisi hawa hawafai

Askari polisi hawa hawafai

Polisi ya sasa ni tofauti kabisa hatukimbizani na watu,..siku hz ni mwendo wa bata tu cha kufia nini,...

Bora umewaambia ukweli wakiambiwa watii sheria bila shuruti hawataki smtm wanajifanya kuvimba kwann wasipewe nakos
 
Jeshi la Polisi ni moja ya taasisi zinazoheshimika sana kitaifa na kimataifa, wafanyakazi wa jeshi hili wanapaswa kuwa mfano wa kuigwa katika jamii.

Inakera na kusikitisha ninapowaona askari polisi wa kike wakiwa wamevaa sketi fupi juu kabisa ya magoti, kwa makusudi wanaonyesha mapaja yao hawa hawana tofauti na Machangudoa wanaojipitishapitisha kwa wanaume wakinadi miili yao, si polisi wa kike tu wapo pia wakiume wanavaa miligezo (kata k) tena visuruali vembamba vilivyowabana makalio, kichekesho kikubwa zaidi viatu vyao ni moka jiulize atamkimbizaje mwalifu na viatu vya moka?

IGP Mwema chukua hatua kali dhidi ya askari polisi hawa wanatia aibu. Polisi anatakiwa awe mkakamavu kuanzia kimavazi.
Acha ujinga wewe kama umekosa cha kuandika si lazima uandike.wewe unajua sheria za uvaaji za hao mapolisi? Wao ni

askari lazima wavae nguo zinapowapa uhuru kufukuza vibaka, unataka avae nguo za kuburuza chini na kufagia ardhi

atamkibizaje kibaka?si ungekuwa wazi kwamba unataka wavae kwa mujibu wa

dini yenu?manake unafikiria ndio maadili au utamaduni wetu!!! umelogwa na imani zako na unafikiri kila mtu anaamini

unachokiamini wewe.ina maana akinadada wa kizungu ni machangu doa?mbona wanakuja na nguo fupi na wala hamsemi

kitu? mavazi huvaliwa kulingana na interest za mcvaaji pamoja na hali ya hewa.sasa joto kali umejilundika manguo lukuki

mengine yanacharabu jua kisa imani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom