Mi nae kuna siku kidogo niwapitie na Barrier yao maana ilikuwa usiku ndio mara ya kwanza napita hiyo njia Kisesa Mwanza Barrier ipo ila giza yaani nimekuja iona hapa na hapa nikavuta brake zote gari ikasimama wakacheka wakafungua nikapita. Serikali iwape hata umeme wa solar