Billie JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 13,709 Reaction score 23,149 Oct 20, 2012 Thread starter #21 M-bongotz said: Usibishane na hao jamaa mkuu hawachelewi kuvaa mabomu na kujiita 'wafia dini' Click to expand... Kama hujui hawa ni watu dhaifu sana humu kwenye jamii yetu bomu walipate wapi.KUJILIPUA NA KUFANYA UGAIDI KUNAHITAJI MTAJI:/capital.
M-bongotz said: Usibishane na hao jamaa mkuu hawachelewi kuvaa mabomu na kujiita 'wafia dini' Click to expand... Kama hujui hawa ni watu dhaifu sana humu kwenye jamii yetu bomu walipate wapi.KUJILIPUA NA KUFANYA UGAIDI KUNAHITAJI MTAJI:/capital.
Highlander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 3,093 Reaction score 1,077 Oct 20, 2012 #22 billie said: nani asiyekujua kama wewe ni zimwi wa jf.sibishani na mvaa vipedo a.k.a alsha bab. Click to expand... dr.who said: basi peleka huja zako za kipuuzi kanisani, usilete hapa < kikojozi weeee Click to expand... oyaa...em nyie wawili acheni upuuzi wenu hapa... Kama hamna la maana kusema zimeni computer mkafanye shuhuli nyingine. Tunataka mazungumzo ya akili hapa...
billie said: nani asiyekujua kama wewe ni zimwi wa jf.sibishani na mvaa vipedo a.k.a alsha bab. Click to expand... dr.who said: basi peleka huja zako za kipuuzi kanisani, usilete hapa < kikojozi weeee Click to expand... oyaa...em nyie wawili acheni upuuzi wenu hapa... Kama hamna la maana kusema zimeni computer mkafanye shuhuli nyingine. Tunataka mazungumzo ya akili hapa...
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 25,200 Reaction score 27,383 Oct 20, 2012 #23 Mabreka said: kuna picha moja ya mgambo m/mke nimeona anamchezea mhuni virungu, nilisikia faraja. wakiwezeshwa wanaweza Click to expand... Daah, na waisilamu wanavyowadharau wanawake, sijui jamaa anajisikiaje huko rumande akikumbuka virungu alivyochezeshewa na mgambo mwanadada!
Mabreka said: kuna picha moja ya mgambo m/mke nimeona anamchezea mhuni virungu, nilisikia faraja. wakiwezeshwa wanaweza Click to expand... Daah, na waisilamu wanavyowadharau wanawake, sijui jamaa anajisikiaje huko rumande akikumbuka virungu alivyochezeshewa na mgambo mwanadada!
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,776 Reaction score 42,935 Oct 20, 2012 #24 Hivi ndugu zangu waislamu mbona tunaenenda kinyume na mafundisho ya marehemu mtume mohamed (s.aw) rehema na aman zimwendee
Hivi ndugu zangu waislamu mbona tunaenenda kinyume na mafundisho ya marehemu mtume mohamed (s.aw) rehema na aman zimwendee
Billie JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 13,709 Reaction score 23,149 Oct 20, 2012 Thread starter #25 Remote said: Hivi ndugu zangu waislamu mbona tunaenenda kinyume na mafundisho ya marehemu mtume mohamed (s.aw) rehema na aman zimwendee Click to expand... Jaribu kuwahasa ila nina hofu kama watakuelewa.
Remote said: Hivi ndugu zangu waislamu mbona tunaenenda kinyume na mafundisho ya marehemu mtume mohamed (s.aw) rehema na aman zimwendee Click to expand... Jaribu kuwahasa ila nina hofu kama watakuelewa.
KIJOME JF-Expert Member Joined Jun 7, 2012 Posts 3,084 Reaction score 733 Oct 20, 2012 #26 Billie said: Wavaa vipedo walipigwa mashuti hadi wakawa wanakimbilia difenda wapande hakuna aliyejifanya jeuri.Ilikuwa akikamatwa tu anaitafuta defenda na kuikimbilia fasta.Utafikili usafiri wa daladala kwenda Gongo la mboto au Mbagala mida ya jioni. Click to expand... Mmmmh!!Japo inasikitisha ila haya mambo yanendana na elimu dunia pia,hivi walichokuwa wanakipigania ukiwauliza watajibu nini???
Billie said: Wavaa vipedo walipigwa mashuti hadi wakawa wanakimbilia difenda wapande hakuna aliyejifanya jeuri.Ilikuwa akikamatwa tu anaitafuta defenda na kuikimbilia fasta.Utafikili usafiri wa daladala kwenda Gongo la mboto au Mbagala mida ya jioni. Click to expand... Mmmmh!!Japo inasikitisha ila haya mambo yanendana na elimu dunia pia,hivi walichokuwa wanakipigania ukiwauliza watajibu nini???