Askari magereza na polisi kunan?

Askari magereza na polisi kunan?

Maalim skido

Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
6
Reaction score
1
Kwanini askari magereza na polisi wanafanya kazi katika mazingira magumu?. Kwanin wasiongezewe mishahara na posho? Kwanni posho ambayo serikal ilipanga kuwapa hawapewi? Sasa kwanin kusiwe na mabadiriko? Kwanin wasipige kura kuleta mabadiliko?
 
Mkuu askari wote wana daftari maalum ambalo wanaandika namba za vitambulisho vyao hlf kura zinaingizwa moja kwa moja CCM.
 
Back
Top Bottom