kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,351 Reaction score 13,437 May 10, 2021 #41 Mawembasa1979 said: Huyu Mwamba alikuwa Mzee wa shughuli ile mbaya. Usiombe kukutana naye, kwanza mikwara kibao. Maana alikuwa anakuwa na pingu, bastola, mbwa na farasi pia. Click to expand... Hata mwili wake wenyewe ni wa kikakamavu, tofauti na wa sasa malonya lonya sana
Mawembasa1979 said: Huyu Mwamba alikuwa Mzee wa shughuli ile mbaya. Usiombe kukutana naye, kwanza mikwara kibao. Maana alikuwa anakuwa na pingu, bastola, mbwa na farasi pia. Click to expand... Hata mwili wake wenyewe ni wa kikakamavu, tofauti na wa sasa malonya lonya sana