Askari hadi kwenye mkaa

[emoji3][emoji3]
Aseeeh
 
Loh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13]
 
Kuna siku walipita na gari wakakuta mkaa unashushwa stoo nadhani walikuwa wanafuatilia lile gari la mkaa linapoenda kushushia washaona kuna ulaji.
Walikuwa wababa watu wazima wawili.
Walipofika wakamhitaji mhusika mwenye stoo wakaitiwa eti walichomwambia tupe basi hela ya kula.
Walichojibiwa sasa
"Siwapi hata mia kwa kazi gani au kosa gani nililofanya"
Kwa aibu ilibidi waondoke.
Hawa watu sometimes basi tu.
 
Wanajishushia heshima wao wenyewe ndio maana wanadharauliwa.
 
Nasikia walisema ni marufuku baiskel kubeba. Mkaa, ila hizi njaa.
Mwenye baiskel ana shida, unamkata ,atakupa nn sasa
 
Jamani, jamani Afande, Mungu anakuona. Eti usalama wa RAIA na Mali zao!!
Jibaba unapokea Pesa kwa dogo aliyechoka na mkaa wake hivyo, halafu utegemee kuombewa Mema kutoka kwa Mungu??
 
"USALAMA BARABARANI".....ukilielewa ilo neno maana yake wala hupati shida ya tafakari juu ya picha hiyo..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…