Alipoulizwa kama kuna tofauti gani kati ya mwanajeshi kuingia kwenye mikutano ya wanasiasa na wale wanaofanya kazi za kisiasa kama wakuu wa wilaya na mikoa, Kanali Mgawe alijibu:" Wanajeshi wanaofanya kazi za U-DC au RC, wanaruhusiwa kisheria."
labda wewe ndo hujamuelewa! anachosema hapa kanali ni kwamba ukiwa mwanajeshi Tanzania unaruhusiwa kufanya siasa za ccm na sio against ccm! well said mgawe,kidumu chama cha Mapinduzi kanali!ubabaishaji tu.... huyo msemaji kajichanganya kwenye statement yake.
Leo ndo nimeelewa kumbe mwanajeshi anaruhusiwa kufanya kazi za ccm kama DC au RC na kuwa mjumbe wa kamati za siasa za wilaya au mkoa.Sasa ndipo ukweli umeanikwa kwamba bado JWTZ lipo kwenye mfumo wa chama kimoja.
Vague, Pasco.
CHADEMA "wamkabidhi".....? Wao kama nani? Je unaweza kuthibitisha hizo tuhuma zako za CHADEMA kumpandikiza huyo mjeshi?
Ndio maana taaluma ya uandishi habari inapuuzwa na kununuliwa kwa bei chee na wenye fedha nchini.
Wajibu wa serikali kulinda raia wake, tunataka jibu ameyowekea wapi?
Ulijuaje kama hatukuhoji?Mbona alipotoweka Shehe Faridi huko Zanzibar hamkuhoji! hakuwa raia?
Wanakera sana,wanahangaika na masikini wa mtaani,badala ya kushughulikia masuala nyeti!ni kweli mkuu,wakapigane na Banda kule malawi badala ya kung'ang'ana na mtu aliyepiga picha na mbunge!